Thursday, January 15, 2015

WAZIRI MKUU MWANAFUNZI WA UDOM AFUKUZWA CHUO AENDELEZA REKODI YAKE YA KUFUKUZWA VYUO MBALIMBALI HAPA NCHINI

Taarifa rasmi zinasema uongozi wa chuo kikuu
cha Dodoma (UDOM) umeazimia kumfukuza
chuo moja kwa moja waziri mkuu wa serikali ya
wanafunzi wa college of humanities and social
sciences bwana MWAKIBINGA na kumsimamisha
rais wa serikali hiyo. Maazimio hayo yanafuatia
kikao cha council ya chuo kilichoketi jana jioni.
Wawili hao wanadaiwa kuchochea mgomo
uliotokea jana chuoni hapo. Ikumbukwe kwamba
MWAKIBINGA aliwahi kusimamishwa chuo kwa
kipindi cha miaka miwili kabla ya kuruhusiwa
kurudi chuoni na kuendelea na masomo. Je unazungumziaje swala hili? Ushauri wako na chochote unachokijua kuhusu mambo kadhaa yaliyopo chini ya kapert..

No comments:

Post a Comment