Saturday, January 24, 2015

TAHADHARI PICHA MBAYA MWENYEKITI WA KIJIJI ACHINJWA KICHWA CHA WEKWA KWENYE SUFURIA


Ni Tukio la kusikitisha sana katika kijiji cha songambele wilayani MLELE mkoani KATAVI lililotokea leo saa saba usiku ambapo watu wasiofahamika wamemvamia mwenyekiti wa
kijiji cha songambele na kisha kutenganisha kichwa na kiwiliwili na pia sehemu zake za siri na kisha kukata mkono wake mara mbili.
Baada ya kufanya kitendo hicho walichukua viungo walivyokata kutoka kwa mwenyekiti huyo na kisha kuvitia kwenye sifuria wakaweka maji na kisha kubandika kwenye moto na kuanza kuvipika.
Baada ya Tukio Hilo watu hao walitokomea sehemu isiyofahamika.

Polisi wilayani MLELE wanaendelelea na uchunguzi kubaini wahusika wa tukio Hilo

No comments:

Post a Comment