Tuesday, January 20, 2015

MREMBO TOKA KENYA ATUMA UJUMBE WA VIDEO YA UTATA KWA MWANAMUZIKI DIAMOND PLATNUMZ,ZARI JIPANGEEE..!!TAZAMA VIDEO



Mrembo na Mwanamuziki Tiara Toka Kenya
Diamond Platnumz ameimba atampata wapi , Mrembo na Mwanamitindo Anayeitwa Tiara , Mwenye Umri wa Miaka 23  wa Kenya anasema Diamond Aende Kenya Kumchukua yeye ana vigezo vyoye kama ni Sura ya mtaratibu , Macho ya Aibu na umbo Mahabibu Anavyo...

Angalia Video Hapa Ujionee Mambo Matamu Aliyotumiwa Diamond Platnumz na Tiara Kutoka Kenya..
Mmh Kuwa Staa Raha sana Yaaani ni Kama zali la Mental...Zari Upo

No comments:

Post a Comment