Saturday, January 24, 2015

BODABODA IMEFANYA YAKE HAPA HATARI SANA

beneke hili sikuzote kama kawaida huwa haliwi mbali na mitaa, katika katiza katiza  mtaani leo ikakumbuna na tukio la mweleka wa bodaboda katika eneo la mwanjelwa mtaa wa kongo jijini mbeya, chanzo cha mweleka huo ni kama kawaida yao bodaboda na haraka zao katika halakati za kumkwepa muungwana alie kuwa akikatiza mdogo mdogo.


      kijana alie kuwa amepakiwa akiwa katika jitihada za kunyanyua pikipiki.
 jamaa wa pikipiki wakiicheki pikipiki yao kama iko vizuri kabla ya kujicheki wao kwanza huku wakipewa semina ya nguvu kutoka kwa wafanya biashara waeneo hilo.

No comments:

Post a Comment