Saturday, January 24, 2015

DIAMOND PLATINUZZZ AKOMAA NA KODI ZA WASANII

Ikiwa CD tu ambazo wengi wao tumesusa kutoa kutokana na kutokuwa na soko kubwa kwa kipindi hichi, imepelekea Serikali kukusanya Kodi zaidi ya Tsh Milioni 340 toka kwa Kazi za Wasanii... je unafkiri Serikali Mkisimamia na swala la Muito wa simu (Caller tune) na mauzo Mengine ya kidigitali mnafkiri Mtaingiza kias gani???.... Jamii imehamia kwenye Digitali hivi sasa, wananchi wanatusupport sana wasanii wao, lakini kutokana na kutokuwa na Usimamizi mzuri wa kiserikali.. matokeo yake, Wasanii tunadhurumiwa, serikali kodi mnaikosa, ela zote wanchkua Wenye makampuni wanazipeleka Nchini kwao.. Bongo tunabaki Na Umaskini wetu... Msikazanie tu Zanzibar, Mlima Kilimanjaro, Mbuga, Madini na kadharika... vijana wenu pia tunaweza iingizia Serikali yetu Pesa...

No comments:

Post a Comment