Thursday, January 22, 2015

DIAMOND PLATNUMZ ATIKISA NCHI YA NIGERIA KWA NYIMBO YAKE YA KAMWAMBIE WANIGERIA WAJUA KUWA WIMBO WAKE MPYAA

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Huwezi kuamini hili, lakini blog za Nigeria zimedata na ngoma iliyomtambulisha Diamond miaka minne iliyopita, Kamwambie. 

Haijulikani ni vipi wimbo huo jana umeonekana kuwa dhahabu kwenye blog za
Nigeria, lakini kinachovutia ni kuwa blog zote kubwa na ndogo zimeupost wimbo huo.

Baadhi ya blog hizo zinadhani huo ni wimbo wake mpya, lakini zingine zinafahamu kuwa ni wimbo wake wa zamani lakini zimeupenda tu na kuamua kuuweka kwakuwa wengi hawaufahamu huko.

Hivi ni baadhi ya blogs za Nigeria zilizouweka wimbo huo na jinsi zilivyoutambulisha:
Jaguda: Fast rising Tanzania superstar singer Diamond Platinumz shares new single to kick off the year 2015. He titles this Kamwambie. Enjoy

Naijabeatzone.com: This song was long released, but until now it got to our notice. We decided to pull it through as one of our throwback for this week after pulling through “Twerk It” by Project pat featuring Ty Dolla $ign, Wiz Khalifa and Wale.
This one on our throwback list for the week is from the Bongo Flava Singer and Tanzanian Hitmaker, Diamond Platnumz. He titled this one “Kamwambie.” The visual for this track has already been

No comments:

Post a Comment