Thursday, January 22, 2015

POMBE SIO CHAI: CHUPA MBILI TU JAMAA KAFANYA MAAJABU HADHARANI KWEUPEEE..!!!!!!!!





Jamaa atoa kali na kuwaacha watu midomo wazi kwa makeke yake..! Du! hadi Dada aliona aibu maana hakutegemea tukio hilo..! Ama kweli pombe sio chai.


Kila kitu kinahitaji uzoefu, Chupa mbili tu Jamaa amechangamka kama ameogea ndimu..

No comments:

Post a Comment