Thursday, January 22, 2015

DROGBA>>> MCHEZAJI PEKEE DUNIANI ANAYEMILIKI NYUMBA YA KIFAHALI ZAIDI UCHEKI HAPA MJENGO HUO

Mchezaji mwenye wa ki Africa anae ing'arisha bendera ya Ivory coast  kwa kutokana na kiwango chake cha uchezaji wake wa mpira katika ligi ya ulaya,ameingia kwenye headline za kuwa ndio mchezaji pekee anae miliki nyumba kubwa na ya kifahali kati ya wachezaji kumi walio linganishwa.
Mchezaji huyu wa Africa ambae kwa sasa ana kikita katika ligi ya uingereza na club yake ya chelsea imeonekana kwamba kazi yake ina mlipa zaidi mbali na wachezaji wengine ambao wana wekeza kwenye vitu vya starehe kama magari lakini yeye ameamua kuinvest katika nyumba yake.
 
Nyumba hiyo ina ukubwa wa ft 8,600square,mabafu ya kuegea 8,bed room au vyumba vya kulalia 7 jumla vyenye thamani ya dolla millioni 21

No comments:

Post a Comment