Friday, January 23, 2015

JUKWAA AMBAPO DIAMOND NA ALIKIBA WATAKAPO PAMBANA LEO

haya hayawi hayawi sasa yamekuwa ile concert kubwa ambayo ilikuwa inasubiriwa na watanzania kiujumla ya show ya tigo kibokoyao leo imefkia tamati, many people are waiting to see how the Tanzanian artist will perfome katika jukwaa hilo, huku pembeni yupo diamond the platnumz mzee wa suprise, huku kiba huku weusi can wait.to see the wonderful perfomance kutoka kwa mastaa hao jijin dar es salaam stay with makubwa haya blog kwa ajili ya updates zote ya show hiyo ya tigo stay tune with us

No comments:

Post a Comment