Friday, January 23, 2015

HAPPY BIRTHDAY JAMJICHO

Mmiliki wa blog ya jamjicho ambaye kwa majina kamili ni JANUARY JORDAN MBIFILE leo hii ni siku yake maalumu ya kuzaliwa kwake ambapo anatimiza   miaka 24.  Hivyo basi  ninapenda kumshukuru mungu kwa kunifisha hapa nilipo mpaka sasa pia naomba mungu aendelee kunijalia uzima na afya njema. Nawaombea  wazazi wangu na watu wote wanaonilea mpaka sasa waendelee kua na afya njema. Pia nawashukuru rafiki zangu ambao munanipa sapoti yenu  kwa kutembele blog yangu ili kusoma habari mmbalimbali ninazoziweka hapa. Hivyo basi nawaomba  mashabiki zangu muendeleee na sapoti yenu pia nitaemndelea kuwapa habari nzuri  kila siku na kila mmoja akiingia hapa lazima atapata  habari inayomfaa maana hapa kila habari ipo.

Kwa ushari au kama una habari au tukio unahitaji kulitangaza  tunaweza kuwasiliana kwa 

simu namba. 0756527718 au 0786674734

Email. jmbifile@gmail.com

 






 






Asahnteni sana     

No comments:

Post a Comment