Friday, January 23, 2015

Diamond Platnumz: kutamba Trace tv Ufaransa

Msanii nasib Abdul a.k.a Diamond platnumz anazidi kung'ara vilivyo na kuchanua kimataifa kwa kazi zake nzuri na watu kuzipoke vizuri.Target ikiwa pale pale ya kufika kimataifa.

 
 
Ndoto yake aimeonekana kuanza kutimia mara baada ya kuingia kwenye top ten za kimataifa katika kituo cha televishen nchini ufaransa.
Kama ulikuwa na hamu ya kufahamu video za Afrika zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa.
kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa, ambacho leo Jan 21 kilitoa list ya top 10 ya nyimbo kali za Afrika ikiwemo ya Diamond Platnumz iitwayo Nitampata Wapi.
10.Jose Chameleone- Wale Wale
9.Solidstar- My Body
8.Mi Abaga- Bad Belle ft Moti Cakes
7.Wizkid- Ojuelegba
6.Davido ft Dj Arafat- Naughty
5.Diamond Platnumz- Nitampata wapi
4.Seyi Shay- Crazy ft Wizkid
3.AKA- All Eyes On Me ft Burna Boy, Da Les, JR
2.Timaya- Sanko
1.Burn Boy- Check and Balance

No comments:

Post a Comment