Friday, January 23, 2015

YOUNG DEE Akrli kutoka na Mtu mzima Kimapenzi, Soma alichokisema >>>



Young Dee
Staa huyu anayefanya poa kwa chati za TV na video inayosimama kwa jina Rock Star, amesema kuwa, kwa upande wake umri sio sababu ya kuzuia swala zima la mapenzi, huku akisisitiza kuwa katika swala hili, hajawahi kabisa kuover dose.Msanii huyu ameweka ukweli huu kwa mashabiki wake, huku akiweka uhalisia wa maisha ya kistaa na uzoefu wanaokutana nao kila siku kwa wasichana kupitia ngoma yake mpya ya Siyo Mchoyo ft Jux Vuitton

No comments:

Post a Comment