VIKOSI VYA JESHI VYA HAMIA MTAMBO WA KUCHAKATA GESI MTWARA
Vikosi vya Jeshi la Ulinzi, Magereza, Polisi na wataalamu wengine wanaendelea na kazi ya kudhibiti mmomonyoko wa ardhi uliotokea hivi karibuni katika kijiji cha Msimbati, Mkoani Mtwara baada ya kunyesha mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali.
Eneo la ardhi ambalo limemomonyoka na kuzama baharini
Taarifa ya Mohamed Saif / Afisa Mawasiliano katika Wizara ya Nishati na Madini
No comments:
Post a Comment