Monday, January 19, 2015

KALI YA MWAKA: WANANCHI WILAYANI MAKETE WAMCHINJA DUMA NA KUMLA NYAMA, ANGALIA PICHA

 Mmoja kajipatia mnofu saaafi wa duma
 Wakimchuna ngozi
wakifurahia nyama ya duma
Wananchi wa wilaya ya Makete mkoani Njombe wakifurahia nyama ya duma aliyeuawa kijiji cha Lupombwe wilayani hapo, ambapo walikwenda kuipika na kuila.  
 
TUNAKUKARIBISHA  KUJIUNGA NA UKURASA WETU WA FACEBOOK KWA KUBOFYA  LIKE HAPO CHINI CHENYE FACEBOOK YETU

No comments:

Post a Comment