Picha ya kulia kabla ya majanga.. Mwanamitindo
ambae alichukua nafasi ya pili ya pili katika
Shindano La Miss BumBum huko Brazil,
mwanadada huyo ameweka wazi madhara
yaliyomkuta baada ya kufanyiwa upasuaji na
kutengenezwa shepu yake ili aweze
kuwa na muonekano mzuri.
Andressa Urach mwenye miaka 27, alitumia muda
wa mwezi mmoja katika chumba cha watu
mahututi na aliogopa kupoteza mguu wake baada
ya sehemu alizofanyiw upasuaji na
kuwekea vitu kuanza kuozesha misuli na vitu hivyo
vilivyojazwa vilitakiwa viondolewe katika
mwili wake, ili kuondoa sehemu hizo zilizokuwa
zimedhurika na kutishia maisha yake.
Picha zinazoonekana zikionesha jinsi Urach
alivyoathirika kutokana na upasuaji huo wa
kutengeneza umbo lake kwa kuongeza mapaja na
makalio, Brazil imeipita U.S. kwa kufanya masala
haya ya urembo wa kufanyiwa upasuaji.
Miss Urach anasema ameshwahi kufanya mapenzi
na Cristiano Ronaldo, na amsema
ameshashawahi kufanya upasuaji kama mara nane
katika miaka minane iliyopita. Upasuaji huo
unahusisha pua, uso kurekebishwa taya na
kuongezwa matiti, lips na hata kupunguza
mashavu ya uke.
Chanzo:Usipojipanga

No comments:
Post a Comment