Watu kama hawa mwanawane unawaruhusu tu waingie na viatu maana la sivyo harufu yake nyau kuzimia au binadamu kabisa kuzima kunahusika.Cheki mwenyewe
Ni shiiiiiida! Jumamosi usiku huku, Jumapili asubuhi unaamkia kule!
DISIKO VUMBI MBURAHATI. KIJANA KALEGEEEEEA! KUMTOA HAPO LABDA UMWAMBIE PANYA ROAD WANAKUJA!
No comments:
Post a Comment