Thursday, January 15, 2015

BABU TALE ATOA KAULI NZIMO KWA ALIYEVUJISHA WIMBO MPYAA WA DIAMOND PLATINUM HIKI NDICHO ALICHOKISEMA



 
Ule Ugonjwa wa kuvuja kwa single za wasanii ambazo muda wake haujafika time hii imemkuta Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz, wimbo huo uliopewa jina la Nasema Nawe umesambaa wiki hii kwenye baadhi ya mitandao ikiwemo blogs pamoja na mitandao ya kijami.
Binafsi ameshangaa baaada ya kusikia kuwa Diamond ametoa wimbo mpya aliourekodi kwa producer Tuddy Thomas.
‘Ni Kweli wimbo umevuja ila sio official yenu sisi hatuwezi kuchukua uamuzi wowote ila tutaufanyia mastering na tuta u realese kama official na wala hatuwezi kumlaumu producer Tuddy Thomas’– alisema Babu Tale.

No comments:

Post a Comment