Saturday, January 10, 2015

ATOBOLEWA MACHO BAADA YA KUTOKA NA MKE WA MCHEZA KARATE

AIBUUU....NJEMBA NUSURA ITOLEWE JICHO BAADA YA KUCHEPUKA NA MKE WA MCHEZA KARETI


Mkazi wa Mtaa wa Lagos, Wazo Mivumoni, Msitu wa Pande jijini Dar es Salaam, Nuru Makala 'BabaEliza' (42) Jumatano iliyopita alikumbwa na majanga baada ya mwanaume aliyejulikana kwa jina la Yusuf Ally 'Mgosi wa Ndima' kudai amemfumania Baba Eliza akiwa na mkewe ambaye jina halikupatikana.


Tafrani hiyo ilijiri usiku wa Jumatano iliyopita, Juni 18, mwaka huu kwenye nyumba yake iliyopo Mtaa wa Lagos, Msitu wa Pande.

Akizungumzia tukio hilo mbele ya wanahabari waliokuwa eneo hilo wakisaka habari, Yusuf Ally ambaye ni mume wa mwanamke aliyefumaniwa alisema:

"Nilikuwa katika harakati za kumchunguza mke wangu kinyemela kwa siku nyingi kama anachepuka, nikabaini kuna mawasiliano yenye shaka kati yake na huyo jirani yangu.


"Nilipomuuliza mke wangu alikiri, akasema amekuwa akimwambia jirani yangu kwamba haiwezekani lakini jamaa anakomaa tu anamwambia wakutane, tena wakutane humu ndani.

"Ndipo nilipoamua kumuandaa mke wangu kwa mtego amwambie jamaa kuwa leo (siku ya tukio) sitakuwepo na sitarudi ili kumpa nafasi jamaa kuja kujinafasi. Baada ya kukamilisha mtego niliwasiliana na kamanda wa sungusungu wa eneo hilo, Kapteni Makumba na kumuelezea kinagaubaga

No comments:

Post a Comment